John 1:45-46

45 aFilipo naye akamkuta Nathanaeli na kumwambia, “Tumemwona yeye ambaye Musa aliandika habari zake katika Torati na ambaye pia manabii waliandika kumhusu, yaani, Isa Al-Nasiri, mwana wa Yusufu.”

46 bNathanaeli akauliza, “Nasiri! Je, kitu chochote chema chaweza kutoka Nasiri?” Filipo akamwambia, “Njoo uone.”

Copyright information for SwhKC